Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 145
- 118
Kenya ni wasomi kuliko sisi,hata hizo demonstrations ziko calculated.tuache sisi mambulula na ccm yetu.mana 2025 t shirt na kanga kama kawaida.KATIBA MPAYA&TUME HURU YA UCHAGUZI[emoji2935][emoji2935][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kenya wanavurugana na itakuwa neema kubwa sana kwetu kwa maana Bandari yetu itanenepa na biashara zetu zitanawiri
halafu kuna Vichaa wanataka tujifunze Kenya kufanya vurugu za kisiasa
Hata kujua kuwa kuna hela ziko China si ni mwenyewe alituambia? yaani alivyokuwa anaongea vile tayari mkono wake ulikuwa pale siku nyingi.( unajua serikali inavyofanya mambo yake?)Umesahu la Plea bargain anawajia waliochukua Hela na anajua Hela ziko china ila amekaa kimya
Na kama ningeandika kwa mtindo hasi ningekuwa nafukuzia nini? Kwani yale mambo bado yapo? Sikuhizi ni kwa merits tu sio kujipendekeza na uchawa.Umesahau kuweka namba ya simu!
Nitakuwa siwakumbushi tena maana mnajisahaulisha kujifanya hamzitaki teuzi kumbe mnazitamani.
Nimevuta ganjaUmewaza kwa kutumia nini mbona ubongo wako umeudhalilisha hivi
Nahisi atakuwa yanga maana wana furaha sana kwani miaka zaidi ya 25 hawakuwahi kufuka robo fainali!Upo yanga au simba bro?
Ila tozo zime pungua na mgawo wa umeme umepungua?Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA.
1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu, 'wakimbizi', wengine walienda
kujificha vijijini ndani huko lakini wote (99%) wamerudi na kuungana na familia zao
2. Wazazi wengi walishindwa kulipa karo za shule za watoto, watoto waliwachukia wazazi- sasa ni furaha tupu ada zimeondolewa kwa kiasi kikubwa sana.
3. Tangu ameingia idadi ya talaka kwa taarifa zisizo rasmi inaweza kuwa imeshuka kwa 30%
4. Idadi ya wanaofunga ndoa nadhani imeongezeka kwa 16%
5. Mashauri ya ndoa kwenye mabaraza ya kata yamepungua mno
6. Idadi ya watu ambao wanacheka na kufurahi imeongezeka sana
7. % ya wanandoa waliokuwa wananuniana nayo imeshuka kwa kiasi kikubwa sana
Nitaendelea
Hamia Kenya kama vipiKenya ni wasomi kuliko sisi,hata hizo demonstrations ziko calculated.tuache sisi mambulula na ccm yetu.mana 2025 t shirt na kanga kama kawaida.KATIBA MPAYA&TUME HURU YA UCHAGUZI[emoji2935][emoji2935][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika ujenzi wa Tanzania mpya yenye amani umoja na mshikamano na ndio maana hata maendeleo yanaonekana kwa nchi na kwa mtu mmoja mmoja safi sana Mama aendelee kuupiga mwingiMambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA.
1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu, 'wakimbizi', wengine walienda
kujificha vijijini ndani huko lakini wote (99%) wamerudi na kuungana na familia zao
2. Wazazi wengi walishindwa kulipa karo za shule za watoto, watoto waliwachukia wazazi- sasa ni furaha tupu ada zimeondolewa kwa kiasi kikubwa sana.
3. Tangu ameingia idadi ya talaka kwa taarifa zisizo rasmi inaweza kuwa imeshuka kwa 30%
4. Idadi ya wanaofunga ndoa nadhani imeongezeka kwa 16%
5. Mashauri ya ndoa kwenye mabaraza ya kata yamepungua mno
6. Idadi ya watu ambao wanacheka na kufurahi imeongezeka sana
7. % ya wanandoa waliokuwa wananuniana nayo imeshuka kwa kiasi kikubwa sana
Nitaendelea
Nashukuru, wengi sasa wanaamini nilichokua nakisema wakati ule, na sasa takwimu ziko wazi kabisaAhsante kwa taarifa...