KUNA JAMAA ANAHITAJ MSAADA MSAIDIEN WANA JAmi

KUNA JAMAA ANAHITAJ MSAADA MSAIDIEN WANA JAmi

Jeremiah fofo

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
36
Reaction score
11
Jaman jamaa amenteli kuwa akifanya mapenz na akipiga goli la kwnza anakuwa hana hamu tna ya kufanya mapenz na jamaa anasinyaa wote hta kusimama hasmam..afanye nn? Il awe na hamu na kuendlea na mech?
 
Jaman jamaa amenteli kuwa akifanya mapenz na akipiga goli la kwnza anakuwa hana hamu tna ya kufanya mapenz na jamaa anasinyaa wote hta kusimama hasmam..afanye nn? Il awe na hamu na kuendlea na mech?
Shida yake ni nini kama anakuwa hana hamu tena? Unless aseme wazi kuwa hamtoshelezi mpenziwe!! Ingekuwa bado anakua na hamu ila mheshimiwa anagoma ingekuwa habari nyingine. Kwa yeye tu kutokuwa na hamu tena ni kigezo tosha cha kumfanya mheshimiwa kutokusimama tena maana hata mishipa haipati ujumbe from ubongo wake kuwa bado kuna kazi ya kufanya, sasa ataact vije pasipo amri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom