Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Habari zenu wadau,
Tangu nilipohama upenzi wa kusikiliza Crouds fm, huwa nafungulia RFA kutwa nzima, kila siku kutokana na kuwa na kazi inayoniruhusu kufanya hivo;
Vipindi maalum ambavyo huwa nakuwa makini navyo ni pamoja na vipindi vyote vya habari kutoka DW, VOA, na BBC, kila wanapojiunga na RFA
lakini nimejaribu kufuatilia, mara nyingi kunapokuwa na habari zinazoihusu Tanzania ama kuwagusa wakubwa huwa matangazo yanakatikakatika
je hii ni hali ya kawaida au kuna hujuma tunazofanyiwa watanzania ili tusisikie uozo unaotuzunguka?
Au hili lipo sehemu sehemu?