Mathethamathetha
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 152
- 148
Hakuna ubayaHapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Majibu yote hayo!?...labda useme umekosa jibu sahihi...na ukisema umekosa jibu sahihi basi jibu sahihi unalijua.dah hata mimi nimekosa jibu...!
Airtell wanatangaza free facebookNaomba mwenye kujua atujuze inatangaza Nini? Inapita dar nzimaaa!
Katika mizaha yote wewe ndio umekomesha.. Kha!!Inampeleka Jesicaa UDOM.
Watakuwa TCRA Labda...Wanatukumbusha.
Kwanza sio mizaa ni mizaha.Si kila jambo lolote litokealo chini ya jua lazima liwe na maana take that into account!Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Majibu yote hayo!?...labda useme umekosa jibu sahihi...na ukisema umekosa jibu sahihi basi jibu sahihi unalijua.
Nilichokiona kwenye hiyo helcopter ni maneno yaliyo nakshiwa rangi nyekundu FACEBOOKA only that mandishi mengine hayaonekani
Airtell wanatangaza free facebook
Mbagala imepita na bango linasomeka FACEBOOK japo maneno mengine cjapata kuyasoma vema!
katikati ya masaa yanapotaka kubadilika.Hahahaa watu wengine sijui mlizaliwa saa ngapi
Style mpya ya Rais kuongea na wazee wa Darisalamu.
mimi nimesoma mwenyewe linasomeka hivi UWENYEKITI WA CCM SAHAU