Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,302
- 2,682
Ukipitia accounts zao kwenye mitandao ya kijamii ni mwendo wa 'Asante Jehova' hawaposti nyimbo za kidunia wao ni gospal kwa kwenda mbele. Kujisnap wanaimba vijimbo vya kusifu na kuabudu. Jumapili kama hii wanajiposti, gauni refu la kitenge, biblia mkononi wanakwenda kanisani uuuuh
Wanawake wa namna hii kwenye ndoa wanacheat like never seen before.
Wasichana wa namna hii wanabadilisha wanaume balaa. Ndio vidangaji vinavyosumbua mtaani. I know you can relate.
Wanawake wa namna hii kwenye ndoa wanacheat like never seen before.
Wasichana wa namna hii wanabadilisha wanaume balaa. Ndio vidangaji vinavyosumbua mtaani. I know you can relate.