mwenye ofisi hakuwepo, so mlinzi ikabidi achukue jukumu
kachora mende badala ya farasi...alafu ukute haifutiki sasa......
Wewe umechorwa nini?Anaacha kufuata maagizo, anachora chura wallah akijiangalia atamtoa meno huyo.
Nilikuwa nimelewa....Kumbuka vizuri ulinichora nini
Nilikuwa nimelewa....