Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
ngangari+ngunguri=ccmb
usilete utani kwenye ukweli ndugu yangu kama cha kuchangia ni bora ufunge domo lako.
msajili ameweka kiwango cha pesa ya kampeni igunga kwa kila mgombea ni sh 40000000 na jimbo la igunga lina kata 20. usafiri wa helkopta kwa si chini ya 8000000 je? vyama kutumia helkopta hamuoni kuwa ni ubadhirifu wa pesa za ruzuku.
Ujinga ni mzigo, siku nyingine andika kwa maneno na sio tarakimu maana hakuna unalolijuwa kwenye kuandika tarakimu.msajili ameweka kiwango cha pesa ya kampeni igunga kwa kila mgombea ni sh 40000000 na jimbo la igunga lina kata 20. usafiri wa helkopta kwa si chini ya 8000000 je? vyama kutumia helkopta hamuoni kuwa ni ubadhirifu wa pesa za ruzuku.
<br />tuwe wakweli wanajf tunapopinga matumizi mabaya katika serikali halafu ukaunga mkono kwenye chama huo ni unafiki