Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Katika hao woooote uliowataja, barmaid ndiye mwenye mazingira magumu sana na hatarishi ya kazi.Ongezea na wafanyakazi wa ndani majumbani,mafundi gereji,wafanyakazi wa mahotelin,makondakta wa magari,wafanya usafi barabarani,wafanyakazi wa saluni,n.k
Ishauri serikali kila mtu awe na bima ya afya.
Ndio maana nimesema, kwa wafanyakazi wa kike wenye mazingira magumu, barmaids wanaongoza.Kuna baa mabaamedi kukaa mwaka ishu
Hawa ni sehemu ya familia wanamofanyia kazi.wafanyakazi wa ndani majumbani
Wakipewa CHF probably watadumu kaziniKuna baa mabaamedi kukaa mwaka ishu
Kuishauri serikali ni UZALENDOUchelewi kusema oooh "serikali imeiba
constructive idea yangu mnilipee"..bullshit
Mkuu, ninapoongelea barmaid ninaongelea mwanamke na kaa ukijua kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu sana asiyehitaji misukosuko na udhalilishaji kama ambavyo walevi wanawafanyia hawa dada zetu.Hakuna Watu wanaofanya Kazi kwenye mazingira magumu kama Mafundi gereji na wachimbaji wa Madini hao Wafanyakazi
Jifunze kuwa muungwana. Pungunza ku panic. Punguza matusi..bullshit
Assumption is the root of all fack ups / mistakes.Wakipewa CHF probably watadumu kazini
Huo ni mtazamo wakoAssumption is the root of all fack ups / mistakes.
Jifunze kuwa muungwana. Pungunza ku panic. Punguza matusi
Duh, kijana taratibuUchelewi kusema oooh "serikali imeiba
constructive idea yangu mnilipee"..bullshit
Wewe ni mkurupukaji mzuri unaehisi unaweza vingi kuliko wengine ungejua maana ya mtu kufanya kazi katika mazingira magumu ama hatarishi usingemtaja barmaids?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ninaomba hii isichukuliwe kama campaign ya serikali kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 kwa maana dada zetu barmaids ni wengi hivyo wanaweza kuipa kura nyingi sana CCM. Mimi nimeandika hivi kama Mtanzania mwenye mapenzi mema na huruma kwa dada zangu na sio kama mfuasi wa chama cha siasa.
Kwa wafanyakazi wa jinsia ya kike wenye mazingira magumu ya kazi ni hawa akina dada kwa maana wana deal na walevi (watu wasio katika hali za kawaida za akili) sasa Kwanini wamiliki wa Bars wanashindwa kuwakatia bima ya afya CHF dada zetu Barmaids 30,000/= tu mwaka mzima? Serikali iwabane hawa jamaa.
Unakuta dada wa watu mshahara wenyewe 80,000 mwezi mzima, au wengine wanalipwa kulingana na idadi ya vinywaji wanavyouza, mara wateja wamshike shike mwili wake wana mdhalilisha hadharani, kazi anafanya zaidi ya masaa 8 kwa siku, sehemu ya kulala hana. Unakuta kina dada 9 wote wanalazwa kwenye chumba kimoja tu (Ghetto), hapelekewi pesa zake WCF wala NSSF.
Kwa mazingira magumu ya kazi kama haya mtu anakosa roho ya utu ya kumkatia mwezie bima ya shilingi 30,000 tu mwaka mzima? Kweli kabisa? Really?
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Umekosea sana umri wangu boss. I'm just 21 years oldInfantry soldier kijana mdogo , umri miaka (23_26)