Sasa wabunifu wengine wanapowazidi mbona wanaweka mpira kwapani?biashara ushindani na ubunifu ati
Sasa wabunifu wengine wanapowazidi mbona wanaweka mpira kwapani?biashara ushindani na ubunifu ati
Kweli tutafika?muda wa kufanya kazi kwa bidii na sio kuanzisha majungu 24/7!Tuache majungu tupige kazi kwa bidii na sio kutumia watu nyuma ya mgongo kuchafua benki nyingine!
Najifunza vitu kadhaa kutokana na uzi huu:
1. Uzi umekuja baada ya kusoma Andiko kwamba CRDB wamepunguza kasi ya kutoa mikopo ili kuangalia na kutathmini stability ya hali ya uchumi nchini kisha watoe mikopo kwa wakopaji wa sekta inayoonesha viashiria vya kukua,
2. Waweza kuwa uzi uliotolewa na jamii ya Watu wasiopenda mawazo mbadala na walio hatari kuwa Washauri wa Rais kwani ni rahisi sana kumdanganya Rais kwa kutompatia alternative ideas against and towards situations,
3. Waweza kuwa uzi wa watu wanaopenda ukiritimba i.e monopoly kwani sijambo la kushadidiwa kwa watumishi wote wa umma nchini kuhudumiwa na NMB peke yake ktk kusambaza mishahara yao ya kila mwezi,
4. Waweza kuwa ni uzi wa watu ambao hawajawa na taarifa za kina kwamba NMB haikunyang'anywa kabisa tenda bali ilitolewa ktk kuwa sole distributor wa mishahara kwa watumishi wote wa umma nchini,
5. Waweza kuwa ni uzi wa watu waficha maovu kwani inaonekana kabisa kuna jambo ovu ulikuwa unalidhania kuwepo na kutendwa na crdb ktk kupata hiyo tenda lkn ukawa kimya mpaka pale ambapo crdb walipotoa kauli ambayo imekuudhi. Jamii kama hii haimsaidii Rais,
6. Mtazamo wa CRDB kama kweli ndiyo huo unapaswa kuwa changamoto kwa Wizara ya Fedha na Mipango kurejea hali ya uchumi wa taifa kwa sasa kwa ujumla wake na kwa kaya (the homestead economic survey) ili tuone hali yetu kiuchumi ki Per Capita na ki GDP ili tuje na Mikakati inayoimarisha ukuaji wa vitu vyote hivi,
7. Tumuombee JPM asizungukwe na Wanafiki ili juhudi zake, nia yake na malengo yake yazae taifa jipya lenye watu wenye kuaminiana, wenye kupenda kufanya kazi na kulipenda taifa lao, waadilifu, makini na wenye kupenda ushindani wa kimaendeleo.
Uaninifu hauji kiujanja ujanja ni kwakuwa wazi wenye kufanya kwa faida ya wote. Tatizo letu kubwa we do not want change hasa kama zina gusa comfort zones zetu. Na pale maslahi yetu yanapoguswa hatupotayari kuangalia in a posituve eyes ni vipi kweli sisi ni vikwazo kwenye jamii. Hii yote ina chagizwa na selfish attitudes zilizojijenga kwa muda mrefu na kudhania vibaya wengine hata pale wanapoangalia maslahi mapana ya nchi.mkuu hiyo namba saba "tuombe Mungu, Magu asizungukwe na human satanic gates" wanaotaka kumpotosha na kutomwambia ukweli
This is a very bias news isWadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Update: 19-08-16
Nasikia "Kimei" kakanusha taarifa zilizonukuliwa na magazeti kupitia mkurugenzi wa masoko.....Niwahakikishieni tu kuwa, "Kimei" ni lazima atambue kuwa JPM hajaribiwi.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.
Yaani ukisoma toka mwanzo unaona the way mko bias ... pia kama mnaisakama CRDB Bank for no reason . Nadhani mna yenu sio Bure. Ila mwenye macho haambiwi tazama . Na wenye macho wanaona u bora wa Benki ya CRDB . Hebu tafuteni mada za msingi acheni umbea wa bila malipo ........This is a very bias news is
Tulijua tu mtakuja ambao mmekosa pumba baada ya Kimei kuongea ukweli kuhusu hali ya kiuchumi ilivyo..na bado mtaendelea kuumbuka kizazi hichi siyo kile cha danganya toto..ulivyo mjinga katika hoja zako unadiliki kusema kwanini walishinda tenda ilihali wana wafanyakazi wengi,una akili kweli wewe? Kwahiyo kigezo chako kuwa wafanyakazi wakiwa wengi ufanisi wa kazi unakuwa mkubwa?
Wadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Update: 19-08-16
Nasikia "Kimei" kakanusha taarifa zilizonukuliwa na magazeti kupitia mkurugenzi wa masoko.....Niwahakikishieni tu kuwa, "Kimei" ni lazima atambue kuwa JPM hajaribiwi.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.
Kwa akili yako CRDB haina matawi kila wilaya? Usipende kukurupukia mambo ambayo huyajuiHoja ni kuwa NMB ni benki nyenye matawi kila wilaya na serikali ina hisa nyingi humo. Kwa nini hizo bank charges za kuhudumia mishahara ya wafanyakazi wa serikali zisibaki NMB ili ipate faida zaidi na
serikali ipate gawio kubwa kwenye faida ya benki? Mambo ya Kimei yanahusika nini?
Utajasikia ni raia wa Malawi...mnara wa Babeli ni tamthilia nzito weee!Duuu!!baada ya Dk. kimei kuwachana LIVE kwamba uchumi wa nchi kwa sasa uko ICU mmeshaanza kumwekea mizengwe.
Nambaz dont lai...raha!Jibu ni rahisi, kwa sababu bank haiongozwi na watu wanafiki. Unafiki, hata siku moja hauwezi kukupa mafanikio. Simama katika ukweli.