Kuna haja ya kuwachague tena?

Mopao Joseph

Member
Jul 1, 2009
34
0
Kwa imani kubwa waliyokuwa nayo wanainchi kwa viongozi wao waliowachagua inaonekana kutoridhishwa nao.
moja,baadhi yao hawajawahi kurudi nyuma toka kuchaguliwa au wengine wameonekana wakati wa ziara ya `presdaa`,
mbili,hawajawahi kuchangia mada yoyote tofauti na kuonekana wanapiga makofi either kukubali au kupinga hoja.
 
Last edited:
Back
Top Bottom