Kuna haja ya kutumia mabilioni ya pesa kufanya hii 'study'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya kutumia mabilioni ya pesa kufanya hii 'study'?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 14, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,465
  Trophy Points: 280
  PCCB launches study on state of corruption

  2009-02-14 11:12:10
  By Guardian Reporter

  The Prevention and Combating of Corruption Bureau has launched a nationwide study aimed at establishing the state of corruption and governance in Tanzania.

  PCCB public relations officer Doreen Kapwani told The Guardian yesterday that the bureau has commissioned two consulting firms, Front Against Corrupt Elements in Tanzania (FACEIT) and Dar Management and Computing Center (DAR/MCC), to help it in doing the job.

  ``We started preliminary preparations for the study, including obtaining suitable consulting firms for undertaking the comprehensive study, in September last year,`` she said in a telephone interview.

  ``We have been making preparations for the study since. With this announcement, we would like to notify members of the public that the study starts with immediate effect and that it is important for them to fully cooperate with our researchers,`` she added.


  Kapwani explained that reports based on, or otherwise relating to, the study would be compiled every two years and follow-ups made as appropriate.

  In an earlier statement signed by the official, the bureau said the study would assess the state of corruption in various groups for an insight into experiences and perceptions of the problem by different groups in Tanzanian society.

  ``In its capacity as the main stakeholder in the national strategy against corruption, PCCB has assigned three officers in its Research, Control and Statistics department to work alongside the two companies which have won the survey tender,`` it said.

  The study will mainly seek to raise public awareness about corruption and sensitise wananachi on problems associated with ensuring good governance partly by reining in corruption at all levels of society.

  It is being launched at a time the nation is witnessing a number of corruption and abuse of office cases.

  Examples are the theft of 133bn/- from the Bank of Tanzania`s External Payment Arrears (EPA) account, the controversial purchase of air traffic control (radar) equipment and the scandalous signing of the Richmond Development Company emergency power generation contract.


  A number of prominent businesspersons and senior government officials, including former cabinet ministers, have been dragged to court in connection with the incidents.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,465
  Trophy Points: 280
  Hichi ni kichekesho cha hali ya juu!!! Eti kuraise 'public awareness' about coruption and to 'sensitize' Watanzania about problems associated with good governance.

  Si bora hayo mabilioni yakajenge madarasa na kununua madawati na kuandaa walimu zaidi kwa watoto waliopasi darasa la saba na kukosa nafasi za kuendelea na masomo ya sekondari kutokana na 'upungufu mkubwa wa madarasa' kuliko kuharibu mapesa chungu nzima!!!! :( Wameshatafuta njia ya kutafuna mabilioni ya pesa wakati kazi ya kupambana na mafisadi imewashinda!!!!
   
  Last edited: Feb 15, 2009
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Na hii 'public awareness' about coruption and to 'sensitize' Watanzania about problems associated with good governance inafanywa vizuri tuu na oposition parties. Sasa sijui kuna nini zaidi ya ulaji.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Haya majitu kutengeneza hizo study ni mbinu za kujipatia kula, wameshazowea hawa.

  Tanzania corruption unai-study nini? ipo mpaka uvunguni, hata majumbani mtu na mkewe utawakuta wako highly corrupted. Upuuzi huu.
   
 5. U

  Utatu JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2009
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 436
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Sensitise?, Hili neno ni la kiingereza na linamaanisha nini?

  Dili la ulaji hili. Study itagharimu kiasi gani na ni sisi walipa kodi ndio tutalipia kama kawaida sio. Itachukuwa muda gani?
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanini kila gazeti la hapa nyumbani lisichapishe nakala hii HAPA ya Mwanakijiji kwa kipindi cha wiki moja tu kwenye ukurasa wake wa mbele (hata wa pili utafaa tu)... kisha ujumbe huo usomwe kwenye kila tv station kila baada ya habari au kila baada ya masaa 8 hivi..... tuone gharama gani wataingia na kiasi gani wananchi watakuwa sensitized.

  Wananchi wako sensitized enough as it is wala hamna kile kinachotendeka. Badala yake mihujumu uchumi inajengewa VIP rooms Keko na kuendelea kuwe mibunge. Unafiki mtupu. Hii inakera sana kusikia kwa kweli. Same kind of mentality waliyokuja nayo eti kwenda kuelewesha wananchi bajeti na kutumia a few billions kwenye zoezi hilo....AMA KWELI HILI NI TAIFA LILILOPIGA KAMBI KWENYE BONDE LA KASHFA!!!
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Feb 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  No reserch no right to speak.
  No investigation no right to prosecute.
  No evidence no case.

  No EPA, RICHMOND, BOT, BUZWAGI, PSRC, NDC, KIWIRA, RADAR...No...
   
 8. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Companero, Inaelekea Watanzania tumefika mahali tumekubali kuwa WAJINGA na kama tunakubali hivyo, itabidi tukubali pia kuwa WAJINGA NDIO WALIWAO. sasa huu usanii na kuzushwa kwa MIRADI ya ajabu ajabu kutakoma lini???? When are we going to tell THESE PEOPLE THAT ENOUGH IS ENOUGH?????
   
 9. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Naamini hii inayoitwa "study" ni mpango wa kifisadi uliosukwa kwa malengo tofauti kabisa na hayo yaliyotolewa. Baada ya dili zao chafu kuanikwa hadharani kila mara, mafisadi wanahaha kutafuta njia za kujinusuru. Hii "study" ni mkakati kabambe wa kujaribu kuangalia na ikiwezekana kuziba mianya na njia zile zote ambazo zimewezesha kuanikwa hadharani dili zao za kifisadi.

  Kwa kutumia kivuli cha kulinda eti nyaraka za siri za serikali, nguvu kubwa zitaelekezwa katika kuwabana watakaoanika hizo siri. Kwamba wako tayari kutumia hela za wananchi kutafiti mbinu za kufunika maovu yao ni kitu cha hatari na lazima kipigwe vita. Nawaomba wote wale wenye nia njema na nchi kukataa haya matumizi mabaya ya hazina yetu - kamwe tusikubali.
   
 10. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ..........ha ha ha your right on the grounds of real 'research'. Any way for something to be researchable it has to posses some features of which among others is 'knowledge gap'. However, for obvious things 'corruption in TZ' is deadly expensive calling for research but rather than implementing measures to combat corruption. Nevertheless, may be if they have limited measures to combat corruption, probably, they could have framed the topic in that way that is a study that aims at coming up with empirical methodology of combating corruption at grassroots.

  On the other hand as urged by other members, this is another fake deal, is wealth media to cooperate addressing it on daily basis to harness this shit deal.
   
Loading...