Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,212
Wana Cc, kuna kitu nakiona katika maisha yetu ya kila siku na kwangu nimeshindwa kukielewa kabisa.
Hivi ni lazima wote tusherehekee mwaka mpya? Huku uswazi ninakoishi nakutanaga na watu ambao mpaka hupata majeraha kwa namna wanavyoshehekea mwaka mpya.
Kwa mawazo yangu naona kama ingefaa zaidi kwa wale waliofanikiwa malengo yao kwa mwaka unaoisha ndio wangesherehekeamwaka mpya.
Unasherehekeaje mwaka mpya hali huna ulichokifanya mwaka unaoisha, na wala huna mipango yoyote kwa mwaka unaofuatia!
Hii kwangu kwa kweli sioni haja ya kufurahia mwaka mpy maana yake ikiwa sina mipango yeyote wala mwaka niumalizao hakuna nilichokifanya
nawakilisha.