Kuna haja ya kumjulisha?

Mtoto hafichwi hata siposema leo ipo siku utasema mwambie tu.
 
xo xory my, bt mjulishe mwenzio ajue ile damu yke hapo ndo atajua mwenyewe kumjali au kumpotezea,,,,,,, bt ucfe moyo wngpi wamelelewa na mama tuu nw wamewin maisha,,,,
 
Sikiliza moyo wako...ningekuwa mimi wala nisingemwambia...kwa kuwa alikuacha akijua mimba ina miezi 7 kama ana shida na mtoto wake basi atakutafuta kwani anajua baada ya miezi 9 mtoto huzaliwa...otherwise mtoe kwenye mahesabu yako...utamtafuta akupe jibu lingine uanze na kumchukia mwanao sababu ya babake...
 
uamuzi unao wewe umwambie au laah usikute nae labda anatega we ndo uanzishe mawasiliano
 

Uliza side A Kuna nini acha kuleta hadithi za kufikirika!
 
Kuna watu humu mnastress za maisha
Mnaacha kushauri mnatokwa na povu tu.
 
na siku mtotoakiuliza babaake?

Atamweleza


Kwani akimjulisha sasa ndio itaepuka mtoto kumuulizia baba yake??????

Au unadhani jamaa ndio atahudumia mtoto wakati kashindwa/kakimbia kuhudumia mimba???
 
Kwa bahati nzuri sijui mbaya......sijui...watoto wa namna hii hufanana sana na baba zao.....kwahyo hata ukificha akija kumuona aaona hii copy yangu kbsa.
 
Ukmwambia anaweza kudhani unaomba hela ya pampers
 


salio la kupenda limekata dah
 
Mmeishi pamoja mpaka ujauzito umefikisha miezi saba ndio ukaondoka,hii ina maana ulianza clinic mkiwa wote na tarehe ya makadirio anaijua. Kama ulipoondoka mlikoma kuwasiliana kabisa hata salamu hampeani basi huna haja ya kumwambia. Kama anajali kuhusu huyo mtoto atakuwa anahesabu siku huko aliko na atakuja kuwaona yeye!!!
Umesema ni X eeee!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…