MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
pole mama
una moyo sana wewe ni wife material
wacha weee wot abauti yuuu
pole mama
una moyo sana wewe ni wife material
Umjulishe ili iweje???
Tatizo muomba ushaur hataki kueleza side A ilikuwaje hadi jamaa anaamua kufanya haya,maana inaonekana kuna jambo kubwa alilofanya huyu mwanamke ndo maana yametokea haya..na kwa uzoefu ni kuwa wanawake huwa ni watu wanaoanza kuumiza wanaume kwa kutokuwa waaminifu,mwanaume akifanya yake huwa mwanamke husika hupiga kelele sana kuwa anaonewa na hawako tayar kusema ukweli kwa walichofanya...nina amini hiyo mimba itakuwa ilishaleta mgogoro haswa wa jamaa kutokuwa na imani kuwa ni yake..
na siku mtotoakiuliza babaake?
na siku mtotoakiuliza babaake?
sina mawasiliano mazuri na my x na nibaada ya kuwa na ujauzito. hapo nyuma tulikua na mawasiliano mpaka ujauzito ulipofika miez 7 ndo akanitamkia hanipendi tena.. kisa nimemuuliza kwa nn anaficha cm yake na akiingia ndani anaizima au anaweka silent kifupi story ni ndefu
sasa bas tangu ujauzito unamiezi 7 hajawahi kunipigia cm wala msg ya kuniuliza naendeleaje wala kujua afya yangu.... mpaka sasa miez tisa nauliza wenzangu mungu akinisaidia nikajifungua salama kuna haja ya kumjulisha kama nimejifungua? au nikae tu kimya maana niliondoka kwake nipo kwetu na nahudumiwa na wazazi wangu.
Simpo... yupo ulaya! Tumepotezana mawasiliano
tehe tehe tehe
Teheee umeona eeeee...
na siku mtotoakiuliza babaake?