64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
vibaya hivyo amwambie tu.
Kwani yule bwana hajui kuhesabu miezi tisa?!!
vibaya hivyo amwambie tu.
Kwani yule bwana hajui kuhesabu miezi tisa?!!
Ubaya haulipwi kwa ubaya, wewe mwambie ikiwezekana na jina atoe yeye.
naww acha kujipaka mafuta ww vp?
Mpe ushaur ww sasa. Hvi wakat wanavuana vyupi walikuja kutuomba ushaur?
Acha kulealea watu bhana
Haya mambo huwez kuamua kwa kuangalia tamati bila kuangalia chanzo...sasa unamuambia usimuambie umuambie halafu????
kupata khabari ni haki yake ya msingi utakuwa umekiuka katiba kama hutamfahamisha.
Ni nini hii mkuu mbona kama umeandika ujumbe wa simu ?no, ucninyamanzie bby plz stl have u lv waz just kidng lv u bby nambie2 k, mc u xaana tel mama n baba mkwe dat a lv dem n mc dem take care k byeeeeee
Sina mawasiliano mazuri na my x na nibaada ya kuwa na ujauzito.
Hapo nyuma tulikua na mawasiliano mpaka ujauzito ulipofika miez 7 ndo akanitamkia hanipendi tena.. kisa nimemuuliza kwa nini anaficha simu yake na akiingia ndani anaizima au anaweka silent kifupi story ni ndefu.
Sasa basi tangu ujauzito unamiezi 7 hajawahi kunipigia simu wala message ya kuniuliza naendeleaje wala kujua afya yangu mpaka sasa miezi tisa nauliza wenzangu mungu akinisaidia nikajifungua salama kuna haja ya kumjulisha kama nimejifungua?
Nikae tu kimya maana niliondoka kwake nipo kwetu na nahudumiwa na wazazi wangu.
kila shilingi ina pande mbili.
Anampeleka kwenye makaburi ya city anatafuta lisilo na jina wala alama anamwambia alifariki na alizikwa hapa!!!
Mkuu, nimetupia like kule pmmwambie tu ufanye unamheshimu u know men we like respect !!!
"Hekima ya mwenye hekima ni silaha kwa mpumbavu".