Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,263 Reaction score 185,187 Oct 6, 2026 #21 Smart911 said: Hakika ni nzuri... Cc: Mahondaw Click to expand... Dunia inakoelekea anajua mungu tu!!
Smart911 said: Hakika ni nzuri... Cc: Mahondaw Click to expand... Dunia inakoelekea anajua mungu tu!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,263 Reaction score 185,187 Oct 6, 2026 #22 Smart911 said: Hakika ni nzuri... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba mtu anakula na maganda???? Nsozinakuwaje hizo???
Smart911 said: Hakika ni nzuri... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba mtu anakula na maganda???? Nsozinakuwaje hizo???
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,711 Reaction score 8,514 Oct 6, 2026 #23 Evelyn Salt said: Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana. Nikajaribu home kutokumenya. Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔 Click to expand... Za home huwa unapika nyingi zinakukinai, hasahasa kwakuwa unapika mwenyewe na kuonjaonja!
Evelyn Salt said: Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana. Nikajaribu home kutokumenya. Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔 Click to expand... Za home huwa unapika nyingi zinakukinai, hasahasa kwakuwa unapika mwenyewe na kuonjaonja!
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,778 Reaction score 46,835 Oct 6, 2026 #24 Hamna haja hasa vile viazi vina maganda meupe, Kwa vile vyenye maganda mekundu huwa yana ladha fulani mbaya kama ukakasi.
Hamna haja hasa vile viazi vina maganda meupe, Kwa vile vyenye maganda mekundu huwa yana ladha fulani mbaya kama ukakasi.