Hii makitu umenisema mimi nalaumiwa mpaka leo.............but mimi sioni haja ya kulaumiwa kabisa kwa hiyo
Dena Amsi, kwetu Ntwara tunasema kwanini kumnyima mtu kitu unacho? teh teh teh!Unajua lawama inakuja pengine sababu alichonacho ni second option! Bila kujua inaweza kuwa the best option!
Where there is really love, that matters alot...unajua kuna kupenda kweli kweli sometimes. lazima mtu alaumu ili kuupa faraja moyo wake ingawa kwangu naona haina msaada wowote.
Samsoni ana kichwa kigumu!
Samsoni hampendi Delila kama ange mpenda wala asinge oa angeendelea kumpigania!
Samsoni alimtamani sana Delila na nia yake nikumjua tu!
afu kuendelea kumlaumu mtu inazidi kumfanya ake mbali nawewe kabisa.
Maana wengine wana aleji na lawama.
Zinaleta nuksi bure ya moyoni.
Lakini si kuna msemo kwamba, ukimpenda mtu mwache aende akatafute furaha yake anapopataka??
Au huwa ni msemo wa kujifariji tu.
Loya una maakili sana. Huyu samsoni akipewa tu mara moja atashiba milele. Curiosity tu hamna lolote!
Dena Amsi, huyo muambie tu ningekukubali ningeshakuua. Kuna mmoja tukikutana ananiambiaga why nilimkataa, namcheka tu manake.alimuoa mdogo wangu wa shule akamtesaaa! Siku ya annivessary ya mwaka mmoja wa ndoa ndo walikuwa awarded divorce. Kumbe ni psychiatric case. Kuna some business tunakutanaga najishangalia kimoyomoyo kuwa mwehu anavaa shati jeupe na tai na anakata shule kama ana phd!
Mamitto, kaa mbali kabisa na mtu ambae alikupendaga na hujamuonjesha hata ukucha! Mi nahisi anaweza kukubaka. Ulishawahi kuona mtu mnasalimiana anatetemeka kama ana homa? Anaweza hata kukupa drugs. Ni curiosity to ya how.does she taste? Haina tafauti na mtoto anaetambaa akakutana na ndala, anakimbizia mdomoni tu