Kuna haja ya kuitisha upya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA tupate Mwenyekiti KIJANA

Ngonini bravo!!

Mi nadhani jamaa ni mmoja wa wale wanaotaka kutumika kiaina kueneza propaganda za kutaka kuidhoofisha cdm.

Mpaka hapa ilipo cdm ni kwa sababu ya uongozi shupavu wa mh. Mbowe. Amekuwa ni mtu mwenye uchungu na chama na kiongozi wa kweli.
Mi nazani kuna namna ccm inajaribu kupenyeza vurugu ndani ya cdm ili kukivuruga kama ilivokuwa wkt ule nccr.

Kina zitto, mnyika na wengine nazani muda wao bado ache waendelee kukomaa ndani ya chama mpaka wkt muafaka kwao
ukifika wa kushika hatamu.

Kamanda mbowe kaza buti maana ndo kwanza kunakucha.
Propaganda za uchaga sijui nini! Ni vilio vya wafa maji
maana walianza uchaga, wakaja ukanda, then wakaja udini, wakaja sijui nini lkn wa-tz wamekuwa wakiwapuuza kwa hizi sio zama za ujinga tena.

We want justice and see our country sailing thru from where we are!
When we see people with alternative visions of our economic problems what we need is to give a helping hand by supporting them
ki-ukweli tanzania tumekwama we need to move out from here.

Miaka 50 ya uhuru bado tuna tambaa.
Mtu wa miaka hamsini kama ni kuoa pengine ana wajukuu tayari. Sasa sisi mpaka sasa hatujaweza kujitegemea miaka 50 ya uhuru bado tuko na utegemezi kibao wa donor support.
Inauma kwa kweli
 
Naimani weng mnacho zungumza hamkielewi humu na sishangai kuona hili kwakuwa ndio hulka ye2 watanzania. kama mada isemavyo twapasa kuwapa vijana nafasi na sio wazee na 2kitaka kulidhibit hili twapasa tuwe makini wakati wa uchaguzi ukifika tusiruhusu maamuzi ya wachache kama alivyofanya slaa kuchukua form na kuzirudisha then ndio wakaweka uchaguzi. ndio ki2 kilicho mfanya mbowe aonekane mdhaifu ilihali alizidiwa kete. twapasa kuwa makini this time
 
Jes,fai,ms mwaka 2015 atagombea mlutheri kupitia ccm sijui mtarudi cuf au mtamuunga mkono?tumeshindwa kuingoa bakwata sasa tunaifitini cdm!huoni cdm wamepinga mangapi kwa manufaa ya watz?eg suala sukari,epa pesa zimerudi kiasi na mengine mengi!MBOWE kafanya maendeleo makubwa sana ktk cdm na dhana ya vyama vya upinzani kwa jumla tanzania
Achana nao hawa, adui yao ni CDM sio umaskini wa Watanzania unaosababishwa na CCM. Nadhani 2015 watarudi CUF kwani CCM watamsimamisha Lowassa
 
Naimani weng mnacho zungumza hamkielewi humu na sishangai kuona hili kwakuwa ndio hulka ye2 watanzania. kama mada isemavyo twapasa kuwapa vijana nafasi na sio wazee na 2kitaka kulidhibit hili twapasa tuwe makini wakati wa uchaguzi ukifika tusiruhusu maamuzi ya wachache kama alivyofanya slaa kuchukua form na kuzirudisha then ndio wakaweka uchaguzi. ndio ki2 kilicho mfanya mbowe aonekane mdhaifu ilihali alizidiwa kete. twapasa kuwa makini this time
Kama na wewe ni kijana basi nchi hii ipo kwenye janga kubwa. Yaani wewe na JK akili ziko sawasawa. Kijana, kijana,kijana! Msimamisheni January Makamba, Kigwangallah au Nape Nnauye au hata Ridhiwan kama ujana ni sifa pekee ya kugombea uongozi. Haya ndio yaliyotufikisha hapa. Kwani "kijana" wenu JK a,metufikisha wapi?
 
Kwani Mbowe ni mzee,
Swala la mchujo litaendelea kuwepo, wagombea mamluki kamwe hawatapita. Kwa hiyo swala hapa sio ukijana wala uzee. Swala hapa ni maslahi ya Chama. Kwa hiyo mnataka kusema mtu kama Shibuda hastahili kufwekwa?. Kuna wanachama tayari wameonekana ndumila kuwili huwezi kuwapa uenyekiti katu kamwe.

Hapa swala sio Mbowe kuna watu wana agenda zao wanataka kuziingiza CDM kwani tayari wamekula vya watu. CDM inataka mwenyekiti mahiri, mkomavu, mjasiri, mwenye maono, na anayeridhika sio macho juu.
 
Mkuu wala hawataweza, hawa wanatwanga maji kwenye kinu.
Hizi ni propaganda zimebuniwa mahsusi na mleta thread kaiweka hii hapa jamvini kwa lengo maalumu lakini kamwa hawatafaniki.
 
Sasa Chadema wanaanza kuiga CCM? haya CCM wanasheherekea TANU na Chadema Isheherekee TANU?
 
Uchaguzi si kuna katiba ya chama inaelezea ni kila baada ya kipindi gani ufanyike? au mtoa hoja unadhani ni kukurupuka tu uanitisha uchaguzi
 
Kama mtakumbuka Uchaguzi Mkuu wa cdm uliopita ulikuwa na mazengwe na kupelekea Chama kupoteza wanachama na viongozi mashuhuri. Binafsi sikupendezwa na hilo na hizi tetesi za manung'uniko miongoni mwa Wanachama zitapeleka cdm pabaya. Kuna watu wameaza kujenga imani eti Mwenyekiti wa cdm lazima awe mchagga.

Mimi sioni kama Freeman Aikaeli ana mvuti (Charisma)wa kuwa kiongozi, na anarudisha nyuma jitihada za cdm kukamata dola.

Bora uitishwe uchaguzi tupate kiongiozi makini.

Kuna akina Zitto, Mnyika; tunang'ang'ania Mbowe wa nini? au zile fedha za urithi?

Craap...
 
Kama na wewe ni kijana basi nchi hii ipo kwenye janga kubwa. Yaani wewe na JK akili ziko sawasawa. Kijana, kijana,kijana! Msimamisheni January Makamba, Kigwangallah au Nape Nnauye au hata Ridhiwan kama ujana ni sifa pekee ya kugombea uongozi. Haya ndio yaliyotufikisha hapa. Kwani "kijana" wenu JK a,metufikisha wapi?
Natumai hujanielewa kwani sijamuunga mkono hata jk na ktk vijana jk cokijana. 2nachopaswa ni kuwa makini na vyama vyote na twapasa 2015 2we na uhakika na 2kifanyacho leo. kuta2a tatizo ni kujua tatizo na kuwa na solution ya maana na msing
 
Kwani Mbowe ni mzee,Swala la mchujo litaendelea kuwepo, wagombea mamluki kamwe hawatapita. Kwa hiyo swala hapa sio ukijana wala uzee. Swala hapa ni maslahi ya Chama. Kwa hiyo mnataka kusema mtu kama Shibuda hastahili kufwekwa?. Kuna wanachama tayari wameonekana ndumila kuwili huwezi kuwapa uenyekiti katu kamwe. Hapa swala sio Mbowe kuna watu wana agenda zao wanataka kuziingiza CDM kwani tayari wamekula vya watu. CDM inataka mwenyekiti mahiri, mkomavu, mjasiri, mwenye maono, na anayeridhika sio macho juu.
Sawa ila chamsing weng wapo kimaslah wa kutetea maslah ya wananch ni wachache na mtu kama shibuda namfananisha na baamed na pia cdm nao walipo mpa nafasi nikaona kama walev
 
Mbowe ndio kiboko ya ccm mbinu zote za ccm kuiua cdm zimegonga mwamba halubuniki na mabilioni yao viva cdm chini ya uongozi wa mbowe tunaomba mbowe agombee tena tumpekura zetu kwani ubabe wake unaifanya chadema idumu na kusonga mbele.
 
Ni mpumbavu tu huyo hana lolote.
Asiporudi shule atakufa kabisa kisiasa.matusi ndiyo mtaji wake na majungu.kipindi cha uchaguzi viti maalumu yeye ndiye aliyekuwa akitumika na zitto kuzunguka nchi nzima.uchaguzi ule ulivurugika kwa sababu ya fitina zao
 
Fuehrer;2200508]Bora uitishwe uchaguzi tupate kiongiozi makini.
Kuna akina Zitto, Mnyika; tunang'ang'ania Mbowe wa nini? au zile fedha za urithi?

Hamjachelewa, anzisheni chama cha vijana!
 
Back
Top Bottom