Kuna haja ya kuitisha upya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA tupate Mwenyekiti KIJANA

Mimi si mwanachama wa CDM na kuna vitu sikubaliani na Mh Mbowe lakini I salute him kwa namna alivyokijenga CDM. Alikuwa na vision ya muda mrefu. Hawa kina Zitto nimewafahamu wakiwa chuo na tayari alikuwa CDM na Mbowe amekuwa akimsaidia vitu vingi tu Zitto. Zitto aliposema Mbowe amemlea ni kweli kabisa. Mbowe ali spot vijana walio smart akaanza kuwajenga more than 10yrs ago kabla hata hajawa mwenyekiti wa CDM. Ni pamoja na Zitto Kabwe na Halima Mdee.

Nampa heshima kwa uwezo wake wa ku spot talents na kuzimold into politicians wa ukweli!
 
mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti kwa sababu ubabe na hulka zake zimeisaidia sana CDM
zitto,mnyika wasubiri wakati wao utakuja.

MBOWE NI KISIKI NAMBA 2 KWA CCM,yeye amewezesha CDM kutorubuniwa na mamluki wapenda pesa walio ndani ya chama
mbowe endelea hivyohivyo.

Nakubaliana na wewe na mleta hoja ama anatumiwa ama hajui nini maana ya kuwa Mwenyekiti.Chadema kuwa hapo ni wanachama wake lakini zaid uimara wa Mbowe .Wako wapi akina Mrema akina Lipumba katika medani ya siasa ? Chadema endeleeni kujifunza itafika wakati Mbowe atapara mrithi mwenye msimamo kama wake .Upuuzi wa Uchaga nk na mawazo ya makenge .
 
Kama mtakumbuka Uchaguzi Mkuu wa cdm uliopita ulikuwa na mazengwe na kupelekea Chama kupoteza wanachama na viongozi mashuhuri. Binafsi sikupendezwa na hilo na hizi tetesi za manung'uniko miongoni mwa Wanachama zitapeleka cdm pabaya. Kuna watu wameaza kujenga imani eti Mwenyekiti wa cdm lazima awe mchagga.

Mimi sioni kama Freeman Aikaeli ana mvuti (Charisma)wa kuwa kiongozi, na anarudisha nyuma jitihada za cdm kukamata dola.

Bora uitishwe uchaguzi tupate kiongiozi makini.

Kuna akina Zitto, Mnyika; tunang'ang'ania Mbowe wa nini? au zile fedha za urithi?

Itisha Uchaguzi wa CCM ndio wana Mwenyekiti mgonjwa na aliyeshindwa kila kitu ambaye anamwogopa hata RA na Kijana wake Bashe; alisema Bashe siyo rais lakini kwa uoga wake baadaye akamuomba Bashe samahani na kumpa cheo cha kubuni ndani ya UVCC!
 
ccm bana,hawakumfukuza mwalimu Nyerere kwa kusema ni mzee,hawakufanya hivyo kwa Kawawa,Msekwa,Kingunge Ngombale Mwiru,the list goes on and on.Sidhani kama mleta hoja ni mwanachadema.Ikiletwa hoja ya kuwahusu ccm kama imetolewa na mwanchadema utajua tu.Hii imetolewa na asiye mwanachadema.Maandishi hayafichi.
 
Kama mtakumbuka Uchaguzi Mkuu wa cdm uliopita ulikuwa na mazengwe na kupelekea Chama kupoteza wanachama na viongozi mashuhuri. Binafsi sikupendezwa na hilo na hizi tetesi za manung'uniko miongoni mwa Wanachama zitapeleka cdm pabaya. Kuna watu wameaza kujenga imani eti Mwenyekiti wa cdm lazima awe mchagga.Mimi sioni kama Freeman Aikaeli ana mvuti (Charisma)wa kuwa kiongozi, na anarudisha nyuma jitihada za cdm kukamata dola.Bora uitishwe uchaguzi tupate kiongiozi makini.Kuna akina Zitto, Mnyika; tunang'ang'ania Mbowe wa nini? au zile fedha za urithi?
Kaka unachosema kina ukweli 100%
 
Back
Top Bottom