Mwanaume usipende kusaidiwa kila siku kama kiwete.Naomba kuuliza kwa Wadau.
Hivi kuna haja ya mtu anayekupa lift (Msaada wa usafiri kwenye gari) kila siku kuchangia mafuta kwenye gari lake, ..!?
Au unatakiwa uuchune uwe Shock absorber tu kwenye gari la watu..!!
Inategemea kama ni msaada ukianza kuchangia inakuwa ni kama Taksi (yaani jamaa anakuwa na obligation hata ukichelewa anakusuburi) after all kuna kitu umempa; otherwise anakuwa na uhuru wa akikuona anasema twende..., Ukianza kuchangia huchelewi kuanza kumfokea kwamba kwanini anachelewa kupita na gari lenu...Naomba kuuliza kwa Wadau.
Hivi kuna haja ya mtu anayekupa lift (Msaada wa usafiri kwenye gari) kila siku kuchangia mafuta kwenye gari lake, ..!?
Au unatakiwa uuchune uwe Shock absorber tu kwenye gari la watu..!!
Sawa mkuusaaNa wewe ukienda peke yako itakuwaje?
Vitu vingine ni kama ku mpush tuu,
Anakusaidia, na wewe unamsaidia, mnaishi kwa kusaidiana hamna anayeumia hamna anyeumiza, kwa kufanya hivyo Ukaribu utakua wa manufaa sio Uchawa.
Β½ + Β½ = 1
Ukitaka upate jibu sahihi, jitutimue ununue hilo gari! Halafu fanya huo utafiti wa kuwapa watu lifti, ili uone kama ni sahihi mtu kupanda tu bure! Au anatakiwa na yeye kujiongeza kuchangia mafuta.Naomba kuuliza kwa Wadau.
Hivi kuna haja ya mtu anayekupa lift (Msaada wa usafiri kwenye gari) kila siku kuchangia mafuta kwenye gari lake, ..!?
Au unatakiwa uuchune uwe Shock absorber tu kwenye gari la watu..!!
Bro kama ulikuwepo asee na ndio anafanya hivyoUsipende kitonga mkuu unataka lift mnaenda ofisini mda wa chai we unaagiza supu kidali na chapati Pepsi baridi jamaa mwenye gari ana kunywa chai rangi na andazi anabana pesa aweke mafuta we umeshashiba unasubiri lift ukasinzie kwenye gari yake acha dharau kasinzie kwenye daladala
Acha kupenda vya dezo lift upande tuuuuuuuuu... fahamu tu ninapoisho hatupmbani lift Kila mtu anaweza yake.Roho mbaya hiyo,hatufanani kama alama za vidole
Hatuachi,tutabana apo apo,kipare tunasema don't loose your self,trie to hold into someone elseAcha kupenda vya dezo lift upande tuuuuuuuuu... fahamu tu ninapoisho hatupmbani lift Kila mtu anaweza yake.
Nimetoa sana enzi za masomo kwa wanafunzi wa shule au maeneo ya karibu na shule.. Wala hawakutoa kitu..
Nasisitiza acha kupenda vya dezo.. na wewe na wenzako muwe na aibu na kazini mnakwenda..
KhaaππHatuachi,tutabana apo apo,kipare tunasema don't loose your self,trie to hold into someone else
Kesho nitapita mitaa yako ya osterbay kuVizia lift
Naomba lift basiKhaaππ
Wahi kesho mapema getini au nikukute barabarani paleππNaomba lift basi
Utanikuta getini kabisa nimekaa kwenye jiwe,Barabarani unaweza nipita ukajidai haujanionaWahi kesho mapema getini au nikukute barabarani paleππ
Uje na pesa ya mafuta πUtanikuta getini kabisa nimekaa kwenye jiwe,Barabarani unaweza nipita ukajidai haujaniona
Kama ndio hivyo ngoja nikapande daladala ,khaaaUje na pesa ya mafuta π
Tunachat zetu Tu hap hakuna shida πππKama ndio hivyo ngoja nikapande daladala ,khaaa
Hii falsafa kuwa hata usipochangia, lazima niweke mafuta kufika ninakoenda, ni falsafa ya kimaskini na inaongelewa na wasio na magari. Tambua, gari ukiibebesha mzigo zaidi, engine inatumia nguvu zaidi kusukuma gari, na hivyo ulaji wa mafuta unaongezeka.Naomba kuuliza kwa Wadau.
Hivi kuna haja ya mtu anayekupa lift (Msaada wa usafiri kwenye gari) kila siku kuchangia mafuta kwenye gari lake, ..!?
Au unatakiwa uuchune uwe Shock absorber tu kwenye gari la watu..!!
Mods wananibania itabidi nije whatsup Sasa eee,namba Sasa kazi ipoTunachat zetu Tu hap hakuna shida πππ