Kuna Haja ya Kubadilika 2013

Kuna Haja ya Kubadilika 2013

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
314936_3164278246223_276434605_n.jpg
Tujifunze jamani kwa 2013
 
mh naona hii inahitaji uoembuzi yakinifu
 
kweli kutoka moyoni sipendi michango basi tu nimechangishwa sana na watu najiuliza nibadilike 2013 na ndio nataka kufunga harusi je nisiombe mchango kwa mtu yoyote kweli?? hii ni ngumu kumeza tena wengine usipwapa kadi ya michango wanakuambia umeniona siwezi kukuchangia sio? ni maneno matupu hili linahitaji upembuzi yakinifu sana ili somo liwaingie kwa watu wote, na usipochanga utadonolewa na maneno madogo madogo ambayo yanaumiza kweli, sijui tufanyeje sasa
 
unajua ni mfumo wetu wa kujamiiana (socialization) so haikwepeki, hii ni sawa na kusema hutakaa na mtoto wa ndugu wakati ukiangalia lazima kuna chain kwenye ndugu zako wa ukoo waliokaa kwa ndugu
 
Kushoto yuko hospital mahututi
Kulia amefariki tunamchangia uku tunauza nyago kwenye tv
 
Kushoto yuko hospital mahututi
Kulia amefariki tunamchangia uku tunauza nyago kwenye tv
kungekua na taswira nyingine tungeangalia jinsi ambavyo watu wako radhi kuchangia sana misiba badala ya ugonjwa
 
unajua ni mfumo wetu wa kujamiiana (socialization) so haikwepeki, hii ni sawa na kusema hutakaa na mtoto wa ndugu wakati ukiangalia lazima kuna chain kwenye ndugu zako wa ukoo waliokaa kwa ndugu

namaanisha usipochangisha kazi sana, unaweza ukajikua kisiwani
 
Tatizo wabongo nao ukiwasomesha wakishapata utawasikia mi nimesoma kwa shida sana halafu hawarudishi fadhila utasikia haooo marekani wanabadilisha na uraia, wakija likizo wanajidai hata kiswahili hawajui waaache kila mmoja aangaike na mzazi wake, ukichangia harusi kidogo unatia hasara papo hapo ukienda unakandamiza bia zako za kutosha, mi nadhani serikali itenge sehemu ya kodi za wananchi ndo watoe hiyo misaada.
 
Tatizo wabongo nao ukiwasomesha wakishapata utawasikia mi nimesoma kwa shida sana halafu hawarudishi fadhila utasikia haooo marekani wanabadilisha na uraia, .

Hapa Tujadili Dual Citizenship kwa kina
 
Back
Top Bottom