Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Ni ile list ya most wanted. Kuna bwana mmoja anazunguka huku na huko akiongea sana. Propaganda nyingi sana. Anahamisha sana magoli. Kila anakopita lazima achafue. Sasa Bro, kazi kwako Senior Colonel