Will Billy
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 300
- 378
Wakuu katika pitapita zangu maeneo mengi nimekutana na uchafuzi wa mazingira wa kiwango cha juu unaosababishwa na chupa(makopo) ya plastic ya energy drinks yaani Mo energy na Azam na nyinginezo.
Baada ya kuwahoji waokota makopo wanasema makopo hayo ya rangi hayauziki hivyo hawayaokoti kwakua hayauziki, nachojiuliza why hizi kampuni (viwanda) wasifanye recycling ili yaweze kutumika tena na sio kutupwa ovyo kila sehem?
Kuna haja ya hawa jamaa kuitafakari mifumo yao ya uendeshaji ili kupunguza athari kwenye mazingira na cha zaidi kupunguza gharama za uendeshaji kwa kuyarecycle(kuyarudisha makopo yaliyotumika kwenye matumizi)