The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 818
Wakuu kwa wale watazamaji wa kipindi cha futuhi kinachorushwa kila Alhamis star tv, hawawezi kumsahau John Mlinga a.k.a Babu mkombe hasa kwa ububunifu wake ktk kufurahisha watazamaji.
Naomba isieleweke kama nampigia debe huyo jamaa, ila wengi wetu ni mashahidi, kipindi cha FUTUHI kwa sasa kimepoa sana/hakina radha, hii nayo inapunguza watazamaji vilevile kuwanyima watazamaji kile wanachotaka.
Wachekeshaji wa sasa wa futuhi ni magumashi tu, na hii imepelekea kupungua kwa watazamaji wa star tv.