Kuna Haja gani Kuwa na Serikali ya Kulipina Mishahara na Posho pasipo na Maendeleo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Haja gani Kuwa na Serikali ya Kulipina Mishahara na Posho pasipo na Maendeleo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanga, Jun 19, 2012.

 1. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Katika kipindi cha uongozi wa JK awamu ya kwanza mwishoni na hii ya pili mambo ya uchumi yamekwenda mrama na nchi kwa ujumla wake ni kama muflisi.
  Bajeti ya 2011/12 iliyokuwa zaidi ya TZS13 Trilion utekelezaji wake ni hafifu sana kiasi kwamba miradi ya maendeleo katika serikali za mitaa ni 30% ya fedha zilizopokelewa na pia Serikali kuu hali pia ni mbaya hata kwenye OC wizara zilikuwa zinapata hata 15milion kwa mwezi badala ya 80-200milion, huku visingizio vyao uwongo vikitolewa.
  Mimi najiuliza na sote tujiulize swali "kuna haja gani kuwa na Serikali ambayo wananchi na taasisi zilipe kodi itumike kulipiA MISHAHARA NA POSHO WATUMISHI NA SAFARI ZA JK NJE YA NCHI BILA MAENDELEO ?.Kama hali ndivyo nafuu kusiwe na Serikali bali tawala za jadi na kimila kuliko na serikali yenye kuleta maendeleo kulingana na mkataba na wajibu wa Serikali kwa watu wake.Kwa nini mkulima na mfugaji kijijini huko alipe kodi ya kulipia safari za JK na watumishi, wakti shule hazina madawati na vitabu kwa ajili ya watoto wao?.
  TUWAJIBISHE UTAWALA HUU UMESHINDWA KAZI NA WAJIBU KWA WATU WAKE.
   
 2. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani JK haoni kama watu hawamtaki,si atoke kwenye kiti kwani hawezi kujiuzulu.MJENZI HURU
   
Loading...