Majibu yako siku hizi hehehMtajijua wenyewe baba ako na mama ako wamekupata Kwa mchezo huohuo cha ajabu kipi ??
Ya kiromantic ennheMajibu yako siku hizi heheh
Ndio Afande.Niki bahatika kuijua hata moja lazima wajuteee
Unatoa makavu bila chengaYa kiromantic ennhe
Mitaa gan zinauzwa nianze kujitafta kama nimerekodiwaDuh, wale wa kununua porn CDs barabarani, unaweza ukajikuta unapewa CD sterling mwenyewe!
Thanks for sharingJinsi ya kutambua iwapo chumba kina CCTV camera kwa kutumia smartphone...
Funga madirisha na milango...
hakikisha unapata giza la kutosha ndani ya chumba..
kisha chukua simu yako na kufungua camera....
Elekeza camera pande zote za chumba na dari..
Ukiona mwanga kwenye screen ya semu yako... hapo hapo mwanga unapotokea ndipo ilipo camera ya CCTVView attachment 728337
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, wale wa kununua porn CDs barabarani, unaweza ukajikuta unapewa CD sterling mwenyewe!