Kuna faida gani mji kuwa jiji?

Nadhani ni siasa za watawala, wakiwaambia watu wa eneo flani mji au wilaya yenu inakuwa jiji, watu wa eneo hilo, huwa wanafurahi sana bila sababu ya msingi, yani wao uhisi inawaogezea sifa kwamba sasa na wao wameendelea.
 
Back
Top Bottom