Kuna Demu staki nataka

Kuna Demu staki nataka

Okay...nimependa the new you
Japo mondray na ile ID nyingine kabla hujawa Da'Vinci alikuwa yeye na mapenzi damu damu
World changes..and peoples change too.
Hizo id zingine zilikua kwa kazi mahususi. Na hii ina mrengo wake..
Ulimkataa M na Gent.. basi mkubali Da'Vinci
 
Hivi ile ingine ilikuwa ni Gentries e?
Mie sikukukataa bhana ni vile tu nili/nasikiliza huu ushauri

Hii stori nimewahi kucomment miaka iliyopita hapahapa, so ni copy & paste
 
Dawa ya watu wa namna hiyo ni kuwa na don't care attitude,kuna viumbe vikioneshwa care sana huwa vinavimba sana

Cha kufanya usimpigie wala kumtumia sms tena,kama ni kweli alikuwa interested na wewe lazima atakutafuta

Ifike mahali mjifunze kubalance shobo asee
Good comment
 
Asante kwa ushauri
 
Nadhani ni swala LA emotions na options, utakuta mdada hajavutiwa kimapenzi na mtoa Mada kiviile, yani kakubali ilimradi kakubali, she's with him kumweka jamaa kama spare tyre, to get attention & ego boost, or even money, na pia utakuta bidada anao wanaume wengine wengi wa kumtoa nyege ambao anawaona ni bora kuliko mtoa mada joanah
 
Hii ndio hali naipitia kwasasa..kuna mmalawi nilimtongoza,kanizungusha wee,sasa tukapabga miadi tukutane geto last Tuesday, siku kufika akawa hapokei wala kujibu texts zangu(hii nitabia yake sana tu)..sasa nilichoamua ni kupiga kimya mazima..juz kanitumia txt sikumjibu mpaka kesho kutwa..Washenzi sana hawa viumbe wa namna hii haswa wanapoonyeshwa ukarimu.
 
Inawezekana ni kweli amemkubali ili awe kama spare lakini inawezekana pia anampenda kweli lakini anajaribu kuringa

Sasa kama amemuweka mleta mada kama spare hiyo ni mbaya kwa mleta mada
Kama kampenda mleta mada lakini anamringia,hiyo njia ya kumpotezea itakuwa nzuri kwa mleta mada
 
Hii ndio hali naipitia kwasasa..kuna mmalawi nilimtongoza,kanizungusha wee,sasa tukapabga miadi tukutane geto last Tuesday, siku kufika akawa hapokei wala kujibu texts zangu(hii nitabia yake sana tu)..sasa nilichoamua ni kupiga kimya mazima..juz kanitumia txt sikumjibu mpaka kesho kutwa..Washenzi sana hawa viumbe wa namna hii haswa wanapoonyeshwa ukarimu.

Ni kweli mkuu,kuna viumbe kadri unavyozidi kuonesha kujali ndio wanavyokuona boya/mzembe....dawa ni kuwapotezea tu
 
Back
Top Bottom