Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Dawa ipo inaflash nicotine
Ni mimea tiba. Nicheki kwa 0713 039 875
 
Tumaini la binadamu wenye imani ni Mungu atakuponya.!

Ajabu naye kaahidi Gambe peponi.! Tena Mito

Mwana wa Adam alikuwa mla kilaji mzuri mpaka mafarisayo wakamshangaa.!

Tufanye habari kuwa fupi Huna msaada
 
Ulipata dawa mkuu?

Mimi Jana niliingia toilet (nyumbani), nikalala humo humo wife amekuja kuniamsha baada ya kutoniona chumbani, yaani saa nzima nalala chooni!

Hiyo ni moja tu ya matukio kibao!
 
Swadaktaaa.
Tunywe kistaarabu.
 
Mtu na uzee wake eti kaacha kipimo 2024.!🤭

Dunia ngumu hii

Ngoja nile kisungura huku na sklow 🤗
Nyie masikini washenzi wachafu mnaokufakufa mapema kwa umasikini kila mtu mnamuona mzee, kwa sababu mmezoea kufa mapema.
 
Sawa GenZ kula vibinti vya kindengeleko 🤭
 
Dawa ipo aisee tena nina ushuhuda nayo kabisa na hata hiyo pombe ukiiona au kusikia harufu yake hutoweza kuvumilia na utaondoka hiyo sehemu haraka sana..
 
Dawa ipo . No 1 Acha kuwa na kampani na watu walevi .
No 2. Acha kwenda kwenye maeneo yanayouza vilevi
No 3. Anza kuwaza maradhi ya moyo na figo na kansa ya Madonda ya tumbo
No 4. Wekeza kwenye mazoezi.

Pombe inadharaulisha sana. Pombe inadhoofisha mwili.
Pombe inasononesha familia.

Kiufupi HAIFAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…