Ndio maana haithubutu kutoa huduma bure kwa wananchi wake. Pamoja na utajiri unaousifia Nigeria ni nchi inayoongoza kwa kuwa na wananchi wengi masikini Afrika. Bado hujanishawishi. Pia kumbuka papasi ni bi mkubwa wako ndio maana kazaa papasi.Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa ww papasi. kama wingi ndio kushindwa kutoa huduma basi Nigeria ingekuwa nyuma ya Tz kimaendeleo.
Usibishane na mpumbavu maana......we ngiri jike unadhani watu wanaogopa sana jela. ww bishoo ndio unsogopa jela lakini wanaume wa ukweli hawana woga huo.
Moja kati ya mabandiko ya hovyo April hii ya 2017.....Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Hata Kahama tatizo ni lile lile ingawa tunalipa bili zetu vizuri tu.Najiuliza tatizo ni serikali ama nani?Ina maana hizi bili za maji tunazolipa zinaenda Benki kuu?Mimi nawalaumu Kashwasa kwani wanachukua pesa,halafu wao wanakwepa kulipia umeme
Kama ni ovyo tutaonana!Moja kati ya mabandiko ya hovyo April hii ya 2017.....