Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,748
Wakuu habari zenu,
Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo maeneo ni makavu na sasa tunaelekea mwisho wa mwezi March, hali ya mvua ni ya wasiwasi.
Nini kitatokea kama mvua haitonyesha? Ni ukame na kuadimika kwa vyakula pamoja na kupanda kwa bei za vyakula.
Nini kifanyike endapo nchi itakumbwa na ukame? Ilihali tunaelewa kabisa hakuna mashamba ya serikali? Yaani hakuna chakula cha msaada? Nini kifanyike wakuu?