Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,335
- 101,442
Hawa vijana wa kiume wawe makini.Watajikuta wanawatongoza wajomba zao.Uzuri wa JF miaka tu ndiyo inaenda lakini mambo ni yale yale
Watu8 thank God wakati ule wa hizi mambo ulipita π
Kunuka maziwa = kuwa mtoto au kutokomaa kiakiliWalionyonya maziwa ya mama zao hawajawahi kuwa wajinga namna hiyo.Huyo lazima kanyonya maziwa ya paka.
Mpe "kapiriensi" yako kwa LucasMleta uzi ukipata kazi ya kufanya utatulia.
I'm speaking from experience
Hawa vijana wa kiume wawe makini.Watajikuta wanawatongoza wanaomba zao.
Hadi baba zao.Kule nilichapia.Badala ya wajomba nikaandika matakataka gani, sijui.Kuwatongoza kina nani zao?
Loh πHadi baba zao.
Aiseee! π€£
Aiseee! π€£
Dah jamani! Ndio niroge mtoto wa 2010 kweliπ₯²
Siyo classmate wako huyu mtoa mada kweli?Inasikitisha shana
Wapumbavu hawa hawajitaumbui hata! Hizo ni trend tu za kijinga soon zitapita!Vijana wanakupenda na kila siku wanakuja kwa zamu yani!
Mental CaseAsipoingia jukwaan najihisi sipo sawa.kiukwel sijawahi kumwona ila i feel i am spiritual attracted.
Hivi kwa uumbuaji huu nikikuletea mwali hauta nishushuaMkuu umebadili uamuzi wako wa kua single and happy?
JF VAR CHECK
Hakuna kuwaza, hakuna usumbufu.ni bata tuh na kuenjoy life. happy day to all single`s.
- Chadema 2030
- Replies: 9
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Maisha ya JF na maisha ya uhalisia ni tofauti Sister,Hivi kwa uumbuaji huu nikikuletea mwali hauta nishushua
Yeah kila la kheri kwake
Na mimi naku mind kinyama...Yeah kila la kheri kwake