Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe uhalisia wake na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusema, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Tuwekee Kamanda
 
Nashindwa kuelewa inakuaje hio clip inavuja wakati wako busy kukanusha na kujitetea kuwa hawahusiki.
Nyinyi kweli wajinga, mnataka kutuaminisha hii speech ya Waitara ndiyo inahusika na jaribio ya mauwaji ya Lisuu. Mmekosa pa kushikilia mmebaki mnatapatapa.

Waitara alikuwa kambi yenu rasmi, wakati wa tukio , au mnataka kutuambia waitara leo anavujisha siri zenu za namna viongozi wenu walivyoungana na badhi ya wenzao wa upande wa pili ili kumsimisha TL na juhudi zake.

The consiperancy of the murder attempt on Lissu many are involved including those of his party

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana aisee ,na ukiisikia Sauti anaongea huku ' ame relax.Yani ukiwa na Mamlaka unaona unaweza kila kitu ,sasa hata hiyo Vita ya ki Uchumi anayo izungumzia ina fanana na Tukio la Mh Lissu kweli ?.

Aliyo yaongea Mkuu wa Kaya (Jiwe) kuhusu namna ya kudili na Msaliti ndio wanayo yaongea hawa wasaidizi wake,bado wana Mpango wa kukamilisha Mission Sababu Kuu ya kinacho endelea kwa sasa.
Unaweza kuwataja,inaonesha unawajua.
 
Nyinyi kweli wajinga, mnataka kutuaminisha hii speech ya Waitara ndiyo inahusika na jaribio ya mauwaji ya Lisuu. Mmekosa pa kushikilia mmebaki mnatapatapa.

Waitara alikuwa kambi yenu rasmi, wakati wa tukio , au mnataka kutuambia waitara leo anavujisha siri zenu za namna viongozi wenu walivyoungana na badhi ya wenzao wa upande wa pili ili kumsimisha TL na juhudi zake.

The consiperancy of the murder attempt on Lissu many are involved including those of his party

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siri zinatoka taratibu!
 
Mtu mwenye akili hawez shindana na ukweli Lisu anajuwa kabisa anakiita kifo kwa tarumbeta na hii haina siri red line ukikanyaga jiandae shingo. Au hamsomi viapo vyenu
 
Hiyo clip iko sawa tz kuna watu zaidi ya 55m mpumbavu mmoja hawezi.akaturudisha nyuma miaka 20 iloyopita. We all know the rules, "kill all keep moving."
 
Back
Top Bottom