Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe uhalisia wake na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusema, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
 
Maneno ya kila siku na miaka yote ya mkosaji.Jiulize,tangu lini huwa unasema mara anguko lao lipo kesho ama vile!Relax bwana mdogo.Mda wa wao ukifika wa kuondoka na wataondoka.

Vinginevyo,utakufa ukitarajia!
 
Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusepa, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Hilo jambo lilitabiriwa siku nyingi mno mkuu, kuna mtu mwenye nguvu kubwa Tanzania ataanguka kabla ya 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ya kila siku na miaka yote ya mkosaji.Jiulize,tangu lini huwa unasema mara anguko lao lipo kesho ama vile!Relax bwana mdogo.Mda wa wao ukifika wa kuondoka na wataondoka.

Vinginevyo,utakufa ukitarajia!
Wewe sapota wa Dikteta unaweka Avatar ya mtu asiye fanana na wewe tabia kwa nini usingeweka ya jiwe au Mr slim?
Unamdhalilisha Sana Obama, mpenda Demokrasia, utu na haki, ungeweka Avatar ya jamaa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo nyingine Musiba ana tokwa povu na kusema Lissu hakupigwa Risasi ,na anaachwa tu.
 
Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusepa, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Mchango tunatuma namba ipi mkuu.
Kila siku unakuja na uzi kana kwamba wewe ni mtu mpya kabisa! Uzi zako zafanana toka 2015.
 
Back
Top Bottom