Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Nashindwa kuelewa inakuaje hio clip inavuja wakati wako busy kukanusha na kujitetea kuwa hawahusiki.
Baina yao wapo wanaomchukia jiwe na matendo yake hadi kufa, wapo hadi ikulu na aliwakuta, lakini kwa Sababu wapo kwenye ajira na wanategemewa na familia zao na wana watoto wanasomesha na maisha ya mtaani ni magumu, hawana jinsi bali kumhujumu jiwe kwa kila namna ikibidi 2020 aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi siku hizi vita yq kiuchumi naona ndio imekua excuse sana kwetu hapa kwa wanasiasa lakini mbona nchi kibao zina hii vita lakini freedoms of speech and democracy imekuwa safi tu lakini kwetu imekuwa tofauti na kinyume au tunacheza hii vita vibaya? au hatufaham wakuwatargets na taasisi gani zinapaswa kucheza hii vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi tulionao waakili ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi siku hizi vita yq kiuchumi naona ndio imekua excuse sana kwetu hapa kwa wanasiasa lakini mbona nchi kibao zina hii vita lakini freedoms of speech and democracy imekuwa safi tu lakini kwetu imekuwa tofauti na kinyume au tunacheza hii vita vibaya? au hatufaham wakuwatargets na taasisi gani zinapaswa kucheza hii vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka uchumi ukue lakini usitumike kama ni mapambano ya kivita, na sio kila kitu ndiyo kipo perfect tunahitaji kuwa na mijadala bado tukosoe tupongezane yani tuzungumze kwa pamoja, nchi ni yetu sote tunaijenga kwa pamoja ni kwanini tugombanie fito
 
Nikiwa nipita mitandaoni na kuingia katila akaunti ya twitter ya Mdee,nimekuta ame-post clip ambayo ukiisikiliza na kama ni ya kweli,inatuthibutishia ni kina nani walimshambulia kamanda wetu na pia inaonyesha bado wana nia hiyo.

Najiuliza hiyo clip ni kweli imevuja au wameivujisha makusudi kwa lengo la kumtisha tu au wameivujisha kwa malengo ya kutoa siri (kuhujumiana)?

Mhusuka hakutaja mtu kwa jina ila anaongelea anachostahili kufanyiwa wanaemuita msaliti hata baada ya kusalimika huku wakigusia ziara yake huko nje.

Mhusika anaongelea habari ya kamanda kuhojiwa huko aliko na huku akisema wazi kuwa katika vita ya uchumi kama kuna mtu anawakwamisha basi mnatanguliza yeye.

In short,ni clip fupi lakini inayotupa picha ya kina nani walihusika na Mdee amewa-tag wenye mamlaka katika hiyo tweet yake.

Nashauri clip ichunguzwe na wahusika wahojiwe japo hawajataja jina la mtu vinginevyo msilaumu watu kwa kuwanyooshea kidole.

Nimalizie kwa kusema, iwapo hili jambo wataendelea kuli-handle kwa style hii, basi wajue linaweza kupelekea anguko lao wakati wowote.
Wahojiwe wote na hata Mdee ahojiwe kaipata wapi. Things have to be clear. Na kama ikitokea ni kitu kilichotengenezwa na wasanii wa IT, nao watafutwe na mfadhili wao ahojiwe.

The truth and only the truth should come out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani hivi kwanini tumefika huku jamani....loooooooh!!!! hiii mbona hatareee aiceeeeeee

Hatari sana aisee ,na ukiisikia Sauti anaongea huku ' ame relax.Yani ukiwa na Mamlaka unaona unaweza kila kitu ,sasa hata hiyo Vita ya ki Uchumi anayo izungumzia ina fanana na Tukio la Mh Lissu kweli ?.

Aliyo yaongea Mkuu wa Kaya (Jiwe) kuhusu namna ya kudili na Msaliti ndio wanayo yaongea hawa wasaidizi wake,bado wana Mpango wa kukamilisha Mission Sababu Kuu ya kinacho endelea kwa sasa.
 
Back
Top Bottom