Kuna binti nataka nikutane nae

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
910
742
Habari wanaJf..

Kama kichwa cha habari kilivyo...kuna binti huwa nawasiliana nae muda kama miaka 2 hivi..ila hatujawai hata kuonana face to face...katika kuwasiliana nae nimegundua anaishi mtaa wa pili kutoka ninapoishi...kama Kilomita 2 au 3 sehemu alipo..Up to now,we are in friend zone..mambo ya mapenzi hatujaengage kwasabb hatuojaonana..

Kwasasa anataka tuonane face to face...
Je sehemu nzuri na sahihi ya kuonana nae kwa mara ya kwanza ni ipi..?(MSAADA)...Maana kashanielekeza anapoishi ila nataka kwanza nimuone afu mambo mengine yatafata...

SEHEMU NZURI YA KAWAIDA KWA MARA YA KWANZA KUKUTANA NA MTU NI HIPI?

Natumai mtanisaidia...
 
Unataka ukutane nae kivipi? Yani unataka teknik za kukutana nae ili umle? Au unataka sehem ya kukutana nae kwa maongezi ya kawaida ambayo yatahusisha vinywaji? Au unataka sehem ambayo mtazoeana fasta na kuenjoy lkn msionekane? Au unataka sehem ya kawaida isiyohusisha vitu vyote hapo juu?
 
nataka sehemu ya kawaida isiyohisisha chochote wala vinywaji..ili kwanza tufahamiane
 
Kubwa LA maadui teh teh,uko vizur mkuu,
:D:D:D
 
Sasa Mkuu mbona hujasema unaishi maeneo gani..!? Ninaweza kukuambia uende nae beach kumbe huko ulipo unaiona beach kwenye kideo...
 
nataka sehemu ya kawaida isiyohisisha chochote wala vinywaji..ili kwanza tufahamiane
Kama yeye ni muislamu basi nenda nae mkakutane karibu na viwanja au ukumbi wa kanisa,( hapo utapata advantage kubwa sana ya kuepuka kufumwa na ndugu zake) na kama ni mkristo fanya vice versa au kama unahofia mwambie mkutane mahali kama beach, eneo la hosp, au hata uwanja wa mpira.
Nimekutajia hayo maeneo ya wazi ili kuepuka resistance kwasababu ni rahisi yeye kuja cuz hayo maeneo yapo salama na hayatomtia hofu kwa kuhofia usalama wake.
Ila kama ungetaka kukutana nae kwaajili ya kugonga ndo ningekuelekeza zaidi na zaidi....
kila la kheri mkuu, na ukihitaji maeneo yaliyojificha ili upate hata nafasi ya romance utanishtua...
 
Back
Top Bottom