Kuna bibi ananitafuta

Hebu eleza kidogo bhana, ilikuwajempaka ukaona mvi zakitumbia
 
[emoji23] [emoji23] usimbandue Huyo ni sawa na bibi yako
 
Umeamua kula wazazi wako sasa, hatari sana hii kitu.
 
PIGA KTU,ila hyo ktu huwa inachelewa sana kupata muvi,hapa kdogo ulitaka kuharbu story yako
 
Hahaaa kula tu kwani unamuita bibi kakuzalia nani yako!? We unataka tuidhinishe uzinzi wako c kingine, we nenda bhna ukajaribu na wazee inakuaje
 
Kwa maelezo yako we ni mwalimu wa tuition halafu ulitaka kufanyia uzinzi sehemu yako ya kazi na bibi yako. Hao wanafunzi wako wa kike ni salama kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…