Habari,
Leo kuna babu amekuja TBC kwenye jambo Tanzania kulalamikia swala la upatikanaji wa maji huko Tandahimba. Anasema pande zile mkulima haogi siku hata 4 zinapita na maji ya kunywa unayafuata kilometa 15, ni hatari!
Imagine wewe leo tukutupe Tandahimba uta survive?