Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Nna wangu ana tabia za ubish na ndo zilizofanya nimuache,ila huwa anakaa kama mwez iv anaanza nisumbua ila kwa ule mnato wake nashindwa ku move on
Njoo nikumovezishie.

Pasia namba zake hapa.
 
Kuna wanaume hatuachiki kirahisi rahisi
Hapo sasa, mimi mwenyewe fundi.... [emoji12][emoji12][emoji12]
Natafakari vile mafundi wawili wakikutana....[emoji28][emoji28][emoji28]
 
....ushanipotezea muda, ya nini ulinitaka? ....

utamu wa tundaa sikuuu mkikumbukana mnaanzaaa vimesage mwishowee ...
 
Nna wangu ana tabia za ubish na ndo zilizofanya nimuache,ila huwa anakaa kama mwez iv anaanza nisumbua ila kwa ule mnato wake nashindwa ku move on
Mi ninaye wa hivyo nimeshindwa kumuacha kwa.mnato wake. Ila.mbishi balaa.
 
Ukishikwa shikamana
 
Una bahati hakuamua kukuroga

Usingechomoka na ungehamia kwake
 
Obey WHO...!!?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

She is my sister from another mother.
Very True[emoji23]

Your Avatar
That Sister of you from another mother
Your Attitude

Made me to Conclude Everything
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…