Hutonitoa password kweli wewe maana..π
Unamaanisha..?Acha wogaa, ukijiona unanigewa na kuzidiwa na hiyari basi hapo una uhuru wa kurudi nyumbani ilhali unaiacha asali ikiwa inameremeta inanesanesa kumwagika chini tayari kurambwa... π
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]For WHAT...!!!???[emoji28]
For WHO....!!!????[emoji2955]
Go EAST I go WEST [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You CHEW I SWALLOW [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
You SPIT I VOMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You QUIT I VANISH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasinde Matata [emoji6]
Ukiona ivo ulimpa nyama ya ulimi uyo sasa kakolea
WAZEE WA KUHONGA MAPENZ KM HAYO WATABAK KUYASIKIA TU NA MIPESA YAO
Unamaanisha..?
Sasa hiyo ni zawadi tunu au ndo unataka kunimalizia kijana wa watu..?π
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kasie matata nakuelewa sana.
Solemba....Nimejikuta naimba....
Ulinipa ahadi tukutane kwenu
Nikitumaini nimewahii
Nilichopata kwako ni matusiii, ooh na dharau teleee...
Ungenieleza ukweli Kiberengeee
Kuliko kunidanganya aaaahhh
Najuta kuitimiza ahadi, oohh haya si ya kweli....π
Kama na hii hujaelewa muite babu Asprin akueleweshe.
Tukutane chobingo..πNimejikuta naimba....
Ulinipa ahadi tukutane kwenu
Nikitumaini nimewahii
Nilichopata kwako ni matusiii, ooh na dharau teleee...
Ungenieleza ukweli Kiberengeee
Kuliko kunidanganya aaaahhh
Najuta kuitimiza ahadi, oohh haya si ya kweli....π
Kama na hii hujaelewa muite babu Asprin akueleweshe.
Hapo nimethibitishaHuyo ni mimi ukiingia hapa hutoki kirahisi[emoji123][emoji123][emoji123]
Umeona eeh[emoji13]Hapo nimethibitisha
Naona maana kutoka tu nawekewa ulinzi nisijetongoza mwingineUmeona eeh[emoji13]
For WHAT...!!!???[emoji28]
For WHO....!!!????[emoji2955]
Go EAST I go WEST [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You CHEW I SWALLOW [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
You SPIT I VOMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You QUIT I VANISH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasinde Matata [emoji6]
Na akiamua kukuacha basi ujue amekuachia laana ya mapenzi..
Kila mwanamke utakayemtongoza atakukataa
Hakuna kitu kama hicho mjinga wewe
kwamba mgando wangu umeusahauπππ mkuu unawapata wapi hata wa hivyo..?
Mi sijawahi pata hata wa kujitokeza anigande. !
ππLove you..π
ππ Huyo ni Bibi yangu punguza wivu laazizi..ππ