the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,371
Mwishowe ikawa vipi?kuna afande flani alikuja mshika mpangaji mwenzetu nilishangaa sana
alimruhusu aoge, anywe chai zaidi akatwambia tuwajulishe ndugu zake ama kama tuna weza tuwahi kwa mwenye kiti kuandaa dhamana ya jamaa.
alimfikisha kituoni kama nusu saa tushafika kamaliza mahojiano dhamana ipo basi akatolewa na kesi ilimalizwa nje kiugwana tu.Mwishowe ikawa vipi?
Askari wa hivyo wapo wachache sanaalimfikisha kituoni kama nusu saa tushafika kamaliza mahojiano dhamana ipo basi akatolewa na kesi ilimalizwa nje kiugwana tu.
sana, jamaa hana(ga) shida kabisa, nimewahi sikia aliwahi muhoji mzee flani na kumbana ipasavyo mzee kaanza kutiririka jasho na kutetemeka akaomba ndugu waje wamdhamini haraka sana. tofauti na hapo yule mzee asilazwe mahabusu ila uzembe wa jamaa wakamlaza mzee alifariki yule.Askari wa hivyo wapo wachache sana
Utang'olewA menoIba bongo uone
Basi ndugu walikosea sana. Sema kuna wanakuwa hovyo sana. Hawataki hata kukusikiliza kabisasana, jamaa hana(ga) shida kabisa, nimewahi sikia aliwahi muhoji mzee flani na kumbana ipasavyo mzee kaanza kutiririka jasho na kutetemeka akaomba ndugu waje wamdhamini haraka sana. tofauti na hapo yule mzee asilazwe mahabusu ila uzembe wa jamaa wakamlaza mzee alifariki yule.
Tofautisha kuna jambazi na mwizi ni vitu 2 tofauti. Mwizi ni binadamu mwenye njaa anaiba kwa sababu fulani anaiba kwa sababu ana njaa na jambazi anauwa na kunyang'anya kwa nguvu. Jambazi anatumia silaha na uibaji wa nguvu ukitaka usitake. Tofauti na mwizi anakuibia wewe haujuwi sasa kati ya jambazi na Mwizi,Jambazi ni binadamu mbaya sana kuliko Mwizi.
Watu wapo radhi waende bandarini na boda boda kuchukua petroliIba bongo uone
russia inaingiaje hapa?Mkuu asikwambie mtu US kugumu, watu wanaishi maisha magumu kule si kitoto. Kuna watu wanaishi kwa sticker, yaani kula kwa sticker. Hapo hapo wanaleta propaganda kuwa baadhi ya mataifa hasa hasa Russia ndio wana maisha magumu.