Kuna ardhi zimevimbiwa maovu

Nilishangazwa sana kuanguka kwa MANGO GARDEN. Binafsi sikuamini. Ukipita sasa hivi pale ni kifusi tu.
 
Hata kivulini nikipita ile mitaa sioni kitu, nikapita miezi mingine nakuta bar mpya naona nayo imekufa,

Kinondoni sijui ina laana gani
 
Balaa sana
 
Maahoga wengi hukatika mapema sana!! Daah umenikumbusha mbali kwa macheni jamani.... 80% ya niliowafahamu pale wametangulia mbele ya haki
Nasikia wakifa minyoo huanzia huko 😳 😳 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…