Aisee! Namana ccm wenyewe ndo vilaza namna hii, haya si matusi mazito kabisa, hivi umeambiwa toka lini mwanaume mwenye muhogo anaweza kuitwa bibie tena mwenye pango, huu si upuuzi huu.
Unafahamu kwamba hapo jirani Uganda gongo sio haram na bangi ni zao la biashara na lina lipa kuliko kahawa.
Hapo Kenya lile zao nyie wapare mnalolilima kwa kuficho kwao ni halali kabisa.
Uganda na Kenya bado akili zao ni nzuri kuliko za warundi ambao hawavuti bangi wala hawatafuni miraa.