Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,513
- 2,470
Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
Mark my wordsKutabiri mvua baada ya kuona wingu zito ni kutuibia
Tutajionea ni swala la muda tuPole yako
Huyu mdada wa ccm kwa kujizima data anapenda, kama baba yako ni mjumbe kamati kuu, kumbe hata uwenyekiti wa kitongoji hana.Pole yako
Acha tu mkuu tuendelee hivihivi, humu kila mtu akishashiba makande mabichi kwao anakamata tu mashine yake, anachorachora madudu kadhaa anabandika, kisha anatulia kusikilizia tumbo lipungue uzito aje achungulie maoni, uzi umetiki au umebuma.Wavuta bangi mzuiwe kutumia JF
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha tu mkuu tuendelee hivihivi, humu kila mtu akishashiba makande mabichi kwao anakamata tu mashine yake, anachorachora madudu kadhaa anabandika, kisha anatulia kusikilizia tumbo lipungue uzito aje achungulie maoni, uzi umetiki au umebuma.
Mnaanza kudharaulika mkuu. Maneno yanakuwa mengi sanaTutajionea ni swala la muda tu
Pole bibie pole sana!Huyu mdada wa ccm kwa kujizima data anapenda, kama baba yako ni mjumbe kamati kuu, kumbe hata uwenyekiti wa kitongoji hana.
Duh...!. Hawa manabii wa majanga, siku hizi kila siku wanachipuka kama uyoga !Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
Mkuu Shikamoo.Duh...!. Hawa manabii wa majanga, siku hizi kila siku wanachipuka kama uyoga !
labda kwa vile wewe ni superhuman ngoja tukusikilizie!.
Thread 'Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!' Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P