Kuna anayejua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna anayejua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by tz1, May 8, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ukiwa Mandela rd utawaona vijana wana mifuko ya plastic wanakinga
  mafuta kutoka kwenye tank za malori.
  Je mafuta hayo wanayapeleka wapi?
  Nimejaribu kuwauliza hawakunipa jibu.
   
 2. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yanapikiwa chips lol! natania
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hivi utamuuliza mwenzio marking scheme ya maisha?
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mafuta ni dili sana mkuu.. Kitu kinachoitwa MAFUTA jua ni dili kubwa ya utajiri kokote duniani..

  Sasa hao vijana wanauzia madreva taxi na waendesha bodaboda..
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwenye biashara unatakiwa usiwe mchoyo wa ugunduzi wako,maana unaweza kupata ushauri kuindeleza.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli haujui mafuta(Petrol/diesel) wanayatumia kwenye nini?
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wana mitambo ya kusafisha mafuta?Maana lazima yatakuwa machafu kwa jinsi wanavyo yachukua.
  Serikali yetu imeshindwa na hao vijana kuweza kusafisha mafuta.hao vijana wapewe Tipper maana serikali imeshindwa.
   
Loading...