Kuna sehemu ınasomeka
i learnt that, to sleep with a man, sometimes
is not to make love but to make enemies
give yourself away to men fully
if you want to burn
they say it better to marry
than to catch flame
only that they dont say
whom to marry
an how not to catch flames
when there is no man
to marry you
yet therw is no path safe
for women
in every street you pass
in every corner
in every deal
there's a man rubbing his hand
to make your life difficult
Kustaafu kabla ya umri wa kustaafu ni kosa duniani na mbinguni. Preta usidanganyike.
Halafu babu ina maana haujanimisi?
Premature but voluntary retirement inakubalika kabisa na pension atapewa. Usimdanganye mwenzio!
Hilo jingine tutaliongelea next week utakapopigwa summon na Bibi!
Huyo hajasogelea hata maturity, ndio unaongelea pre-maturity? Hapo unamuonea kiukweli.
Hiyo summons hata sitaweka sahihi. Nimewanunia wote wewe na bibi kwa pamoja.
Sema mnatisha, wapo 8 hao mtu mmoja ni ngumu kuweza kudadavuwa bila kupewa jina la kitabu.
Hahahaha....mimi nilidhani Watu8 ni mtu mmoja mwenye uwezo sawa na watu 8; wewe unasema ni watu 8?!
Ngoja watu8 aje / waje.....atuhakikishie / watuhakikshie kama ni kweli unayosema!