Kuna anayejua hichi kitabu

Kuna anayejua hichi kitabu

BabM

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
1,166
Reaction score
956
Wakuu kuna kitabu nilikiokota nikakipoteza. Kwa bahati mbaya kilikuwa kimeanzia katikati na sikuweza kupata jina lake mpaka nakipoteza.

Mwandishi anaonekana ni mkenya. Msichana akielezea namna mpenzi wake alivyomwaribia maisha yake na sehemu kubwa ya kitabu anawalaani na kuwalaumu wanaume alokutana nao baada ya kuwa changudoa.

Nakumbuka kurasa kilipoanzia ulikuwa umeanza hivi:

No I dont want to remember about that pig
You see one time
when my breast were stiff
and it was very tight down there
I met a young man carrying.

May a mad dog chew his testicles.

Mstari huu ndio ulinifanya nikiokote na kukisoma.

Je kuna ambaye pengine ameshakisoma anitajie jina ili nikitafute?
 
nenda Kenyan forum....watakusaidia.....
 
Mkuu BabM jina la kitabu ukiuliziacho ni After 4.30 na mwandishi wake ni jamaa mmoja maarufu sana huko Kenya anaitwa David G. Maillu...

Maandishi hayo uliyoyaambatanisha bila shaka ni ushairi kutoka sura ya pili yenye kichwa cha sura "What it is to be a woman"...

Picha ya mbele ya kitabu hiki kilichofanyiwa utunzi mnamo mwaka 1974/75 kwa toleo la kwanza na 1987 kwa toleo la pili ni hii hapa chini sijui kama itaonekana kwa uzuri...

IMAG0011.jpg
 
No I dont want to remember about that pig
You see one time
when my breast were stiff
and it was very tight down there
I met a young man carrying ..

May a mad dog chew his testicles.

Mstari huu ndio ulinifanya nikiokote na kukisoma.

"No, I don't want to remember about that pig

You see, one time, when my breasts were stiff

and it was very tight down there!

I met a young handsome man

a good Christian, I suppose, because

he carried double Christian names

Paulo Silvesta, that is

Paulo Silvesta Mbelenzi, hell!

May a mad dog chew his testicles!"
 
Mkuu BabM jina la kitabu ukiuliziacho ni After 4.30 na mwandishi wake ni jamaa mmoja maarufu sana huko Kenya anaitwa David G. Maillu...

Maandishi hayo uliyoyaambatanisha bila shaka ni ushairi kutoka sura ya pili yenye kichwa cha sura "What it is to be a woman"...

Picha ya mbele ya kitabu hiki kilichofanyiwa utunzi mnamo mwaka 1974/75 kwa toleo la kwanza na 1987 kwa toleo la pili ni hii hapa chini sijui kama itaonekana kwa uzuri...

IMAG0011.jpg

Mkuu unatisha....! Hiki kitabu nilikisoma zamani saana!
 
"No, I don't want to remember about that pig

You see, one time, when my breasts were stiff

and it was very tight down there!

I met a young handsome man

a good Christian, I suppose, because

he carried double Christian names

Paulo Silvesta, that is

Paulo Silvesta Mbelenzi, hell!

May a mad dog chew his testicles!"

Nimekukubali mkuu....

Nilikisoma zamani sana na natamani nikisome tena...

Nitakitafuta!
 
MKUU WATU 8 UNATISHA XANA. Big up, endelea kuwa msaada.
 
Ni kitabu maarufu mkuu ingawaje ni cha zamani sana...

......uko sahihi mkuu, nimewahi kumsoma pia, kijitabu kidogo nadhani jina ni Unfit for human consumption. Kaandika pia My Dear Bottle ha hahha, alikuwa mtunzi mzuri
 
Sema mnatisha, wapo 8 hao mtu mmoja ni ngumu kuweza kudadavuwa bila kupewa jina la kitabu.

Unaleta utoto ni lini x imegeuka kuwa s? Wewe huwezi kuandika neno SANA?

tatizi la kuwa na pengo kwenye mwanya hilo,vijana wengi wa dot com limewaathiri
 
Ukipata uniambie.......nataka nikisome pia.......nijue nini ilitokea after hiyo saa kumi na nusu.........

Enzi hizo kilipigwa marufuku Tanzania...inaweza kuwa shida kukipata katika Bookshop za hapa. Kenya I am sure kitapatikana.
 
Exactly. Thanks a lot. Uandishi wa hicho kitabu unavutia kusoma. Na stori zake ni kali sana. Nakumbuka akisimulia alivyokutana na mwanaume wa kikuyu kama sikosei anasema alisugua ndude ikavimba wiki nzima. Kwi kwi kwi. Ngoja sasa niangalie namna ya kukipata.


"No, I don't want to remember about that pig

You see, one time, when my breasts were stiff

and it was very tight down there!

I met a young handsome man

a good Christian, I suppose, because

he carried double Christian names

Paulo Silvesta, that is

Paulo Silvesta Mbelenzi, hell!

May a mad dog chew his testicles!"
 
Ni kitabu kinachoonyesha masha ya mabinti wengi yanavyoharibika kwa kosa moja.
Nakubaliana na wewe mkuu. Shida, kizazi cha sasa hivi si wengi wanapenda kusoma vitabu.....!
 
Back
Top Bottom