Nawajua tu wako Tanga karibu na simba cement ila mambo yao ya ndani siyajui.
Ila kwa hapa bongo viwanda vya cement vinavyolipa vizuri ni Twiga, simba na mbeya cement, ila hivi vinavyochipukia ni mishahara ya kawaida tu coz vimejaa wahindi na wachina.