Kuna ambaye ameitwa kwenye ajira za Upolisi

Kuna ambaye ameitwa kwenye ajira za Upolisi

Twyn

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
993
Reaction score
551
Nauliza kuna ambae amepigiwa simu kuhusu ajira za polisi kama ameitwa
 
Kuna mwanangu mmoja anasota Sana
Aiseee hii serikali inatoa ajira Kwa kubaguana
 
Unasubiri kupigiwa simu na polisi? Hyo halijawahi kutokea vngnevyo utakua mtu wa bahat sana
 
Unasubiri kupigiwa simu na polisi? Hyo halijawahi kutokea vngnevyo utakua mtu wa bahat sana

Jamaa zangu wawili jana jioni wamepigiwa leo saa12 waende kwa ajili ya vipimo ,wao waliomba kama form six kule kwa kamanda wa mkoa
 
Usahili unafanyikia eneo ulilojiandikisha kuomba. Kanda ya pwani, kibaha usahili jumatatu
 
Jamaa zangu wawili jana jioni wamepigiwa leo saa12 waende kwa ajili ya vipimo ,wao waliomba kama form six kule kwa kamanda wa mkoa
Walijiandikisha mkoa upi hao walioitwa?
 
Naomba msiongopee watu majina yakitoka wataitwa tuu hata mtandaon yataweke:
 
Back
Top Bottom