Neiwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 728
- 634
Kuna watu ambao tumekutana na kuwa nao pamoja bila kujalisha kama ni kwa muda mfupi ama mrefu maishani mwetu. Kuanzia utotoni hadi sasa ukubwani, wale tuliosoma nao, wale ambao ni ndugu zetu, wale ambao tumecheza nao, wale wakupita, wale ambao tumefanya nao vituko na wengine wote walio wahi kugusa maisha yetu.
Cha ajabu katika idadi yote hii ya watu hawa, kuna yule ambae huelewi kabisa yupo wapi na hata kwa kumtafutia, pengine hata jina wafahamu moja tu! Ukimuona si kwamba una ujumbe wowote wa kufikisha ila bado tu huwa unajiuliza yupo wapi siku hizi? Alikufa? Yupo? Ana hali gani? Miaka inazidi kukatika humuoni na bado once in a while watafakari endapo ipo siku utamuona huko mbele. Kuna ambae imewahi kumpata hii?